3.5/5
Days
Hours
Minutes
Seconds

JUMUIYA YA WANAHABARI YA MITANDAO YA KIJAMII TANZANIA

Ni muunganiko wa jamii ya wanahabari wa mitandao ya kijamii na vyombo vya habari nchini na imeundwa kwa madhumuni ya kumsaidia mwanachama ili aweze kujikuza kiuchumi, kupata elimu na mafunzo, kutambulika na maamlaka na jumuiya iwe njia nyepesi ya kupata taarifa (HABARI)

Wanahabari wa mitandao ya kijamii wanaweza kuwa na sauti na uwakilishi zaidi katika tasnia ya habari. Wanapojumuika pamoja na kuweza kuwa na nguvu zaidi ya kusaidia kuboresha mazingira ya kazi ya mwanahabari

tuna jambo letu!

KONGAMANO
mei 21, 2024
KONGAMANO LA WAANDISHI WA HABARI WA MITANDAO YA KIJAMII:

Lililoandaliwa na JUMIKITA kwa kushirikiana na TAHLISO

KANDA JUMUISHI
0
VYOMBO VYA HABARI
0 +
WANACHAMA
0 +
WAFUATILIAJI WETU
0 + MILIONI
TUNASIMAMIWA NA KUFATA SHERIA ZA NCHI CHINI YA MAMLAKA

JUMIKITA TUNA NGUVU UWEZO WELEDI

HABARI

TAARIFA KWA UMMA

KONGAMANO LA WAANDISHI WA HABARI WA MITANDAO YA

ITAMBUE JUMIKITA

JUMIKITA ni kifupisho cha Jumuiya ya Wanahabari wa

MASWALI YA MSINGI

Ili kuwa mwanachama wa JUMIKITA, unaweza kufuata hatua hizi:

1. Tembelea tovuti rasmi ya JUMIKITA.
2. Jaza fomu ya uanachama iliyopo kwenye tovuti.
3. Wasiliana na mamlaka husika ndani ya JUMIKITA kwa maelezo zaidi na kuthibitisha uanachama wako.

Karibu kujiunga na JUMIKITA na tunakutakia mafanikio katika tasnia ya habari ya mitandao ya kijamii Tanzania!

Kuwa mwanachama wa JUMIKITA inahitaji kuwa mwanahabari wa mitandao ya kijamii, kuwa na nia ya kujifunza na kuboresha, kuwa na nia ya kuondoa upotoshaji, kuwa na uwezo wa kujenga na kuendeleza uhusiano, na kuzingatia maadili ya uandishi wa habari.

JUMIKITA (Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania) inapatikana kwa njia mbalimbali. Hapa ni maelezo ya jinsi ya kuwasiliana na JUMIKITA:


Makao Makuu: Dar es Salaam, Sinza
Namba ya Simu: 0717 073 435
Barua Pepe: info@jumikita.co.tz
kwa kupokea Habari: habari@jumikita.co.tz

Usisite kuwasiliana na JUMIKITA kwa maswali yoyote au kuomba maelezo zaidi. Watakuwa tayari kusaidia na kutoa maelezo yanayohitajika.

WASILIANA NASI

Asante kwa kutembelea tovuti yetu. Tunathamini sana mawasiliano na maoni yako. Ikiwa una maswali, maoni, au unataka kushiriki nasi

Scroll to Top