Viongozi wa Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandaoni Zanzibar Watembelea Ofisi za JUMIKITA Dar es Salaam
Viongozi wa Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandaoni Zanzibar
Ni muunganiko wa jamii ya wanahabari wa mitandao ya kijamii na vyombo vya habari nchini na imeundwa kwa madhumuni ya kumsaidia mwanachama ili aweze kujikuza kiuchumi, kupata elimu na mafunzo, kutambulika na maamlaka na jumuiya iwe njia nyepesi ya kupata taarifa (HABARI)
Wanahabari wa mitandao ya kijamii wanaweza kuwa na sauti na uwakilishi zaidi katika tasnia ya habari. Wanapojumuika pamoja na kuweza kuwa na nguvu zaidi ya kusaidia kuboresha mazingira ya kazi ya mwanahabari
Lililoandaliwa na JUMIKITA kwa kushirikiana na TAHLISO
Viongozi wa Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandaoni Zanzibar
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr.
Ili kuwa mwanachama wa JUMIKITA, unaweza kufuata hatua hizi:
1. Tembelea tovuti rasmi ya JUMIKITA.
2. Jaza fomu ya uanachama iliyopo kwenye tovuti.
3. Wasiliana na mamlaka husika ndani ya JUMIKITA kwa maelezo zaidi na kuthibitisha uanachama wako.
Karibu kujiunga na JUMIKITA na tunakutakia mafanikio katika tasnia ya habari ya mitandao ya kijamii Tanzania!
Kuwa mwanachama wa JUMIKITA inahitaji kuwa mwanahabari wa mitandao ya kijamii, kuwa na nia ya kujifunza na kuboresha, kuwa na nia ya kuondoa upotoshaji, kuwa na uwezo wa kujenga na kuendeleza uhusiano, na kuzingatia maadili ya uandishi wa habari.
JUMIKITA (Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania) inapatikana kwa njia mbalimbali. Hapa ni maelezo ya jinsi ya kuwasiliana na JUMIKITA:
Makao Makuu: Dar es Salaam, Sinza
Namba ya Simu: 0717 073 435
Barua Pepe: info@jumikita.co.tz
kwa kupokea Habari: habari@jumikita.co.tz
Usisite kuwasiliana na JUMIKITA kwa maswali yoyote au kuomba maelezo zaidi. Watakuwa tayari kusaidia na kutoa maelezo yanayohitajika.
Asante kwa kutembelea tovuti yetu. Tunathamini sana mawasiliano na maoni yako. Ikiwa una maswali, maoni, au unataka kushiriki nasi